GET /api/v0.1/hansard/entries/1212814/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1212814,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1212814/?format=api",
    "text_counter": 166,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika umeleta ujumbe kutoka kortini na hawa ndugu zangu ambao ni mawakili - naona Seneta wa kutoka Kaunti ya Makueni akitingiza kipaza sauti chake - wanapaswa kwenda mahali panapofaa. Wanafaa waende mahakamani na wayatetee mambo wanayosema. Ujumbe huo utaletewa kama ulivyoletwa hapa na utausoma. Ikiwa huo ujumbe utasema vile wanavyotaka kuwa kiranja wanayetaka aweze kuwepo, wewe hauna budi kufanya hivyo."
}