GET /api/v0.1/hansard/entries/1212818/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1212818,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1212818/?format=api",
"text_counter": 170,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Sheria tunazotengeneza hapa zinapaswa kupelekwa katika korti zetu ili uamuzi ufanywe. Itakuwa ni jambo la kuvunja moyo sana na lisilo manufaa ikiwa tutatunga sheria halafu korti ambazo tunataka kupatia mamlaka ya kufanya kazi zake tunakosa kuzitambua wala kuziheshimu. Sisi kama wabunge tunafaa tuwe tunasema mambo na kuyaamini."
}