GET /api/v0.1/hansard/entries/1213070/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1213070,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213070/?format=api",
"text_counter": 422,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi Spika wa Muda, naunga mkono yale yaliyozungumziwa hapa. Hii ni kwa sababu, mambo niliyosoma kuhusu elimu ni kitu cha kushangaza sana. Utaona ikiendelea hivi na itaishia uko msituni ilhali kuna sheria, hata Rais alisema walimu wote warudi nyumbani kwao."
}