GET /api/v0.1/hansard/entries/1213071/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213071,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213071/?format=api",
    "text_counter": 423,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kama kaunti, tuko na majimbo arubainne na saba, moja wapo ni Embu. Walimu wa Embu wale wako jimbo la Machakos, Kitui, Meru na Kirinyaga, tumeshtuka sana kunasemekana hakuna mahali wataenda. Hii ni kwa sababu kaunti ya Embu iko na walimu wengi."
}