GET /api/v0.1/hansard/entries/1213073/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213073,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213073/?format=api",
    "text_counter": 425,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Akina mama ambao wamekaribia miaka sitini wanalilia uko kwa mkubwa wa elimu. Kwa hivyo, tufuatilie vizuri ndio walimu wa Embu waweze kurudi nyumbani. Sio lazima wapige magoti. Kama jambo hilo halitasuluhishwa, Embu, tutaandamana hadi ofisi ya tume ya walimu. Hakuna mtu atatusimamisha. Ni aibu kubwa sana."
}