GET /api/v0.1/hansard/entries/1213140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213140,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213140/?format=api",
    "text_counter": 492,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Ahsante Bi. Spika wa Muda kwa fursa hii ambayo umenipa kuchangia hususan mada ya kuangazia pesa zinazokwenda mashinani. Tunapopiga kurunzi mashinani, kuna kaunti ambazo kwa sasa zimeshindwa kuwapa wakulima pembejeo na mbegu za ukulima kwa sababu fedha hazipo. Hizi pesa zitakapoachiliwa, ninatumai ya kwamba wakulima watapewa nafasi bora, wanawake na mayatima ili waweze kujipanga katika musimu huu wa upanzi."
}