GET /api/v0.1/hansard/entries/1213141/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213141,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213141/?format=api",
    "text_counter": 493,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Vilevile, Serikali imetoa mufumo mpya wa kutoka kidato cha saba, cha nane hadi shule za upili. Hivi kwamba inahitajika miundo mbinu ambayo watoto wataweza kupata madarasa, madawati na vitabu. Vyote hivi vinahitaji pesa ili yote yawezekane."
}