GET /api/v0.1/hansard/entries/1213145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213145,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213145/?format=api",
    "text_counter": 497,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Pesa hizi zitakapofika nikuhakikisha kuna mstakabadhi mwema kati yetu, magavana na serikali ya Kitaifa. Sitarajii kwamba watakapopata pesa wakose kulipa pesa ambazo zinaenda kwa halmashauri ya afya, halmashauri ya kijamii (NSSF), na vile kulipa ushuru. Katika vitabu vya hesabu tumeona wafanyikazi wa serikali wanalipwa mishahara lakini pesa zitakazo lipa ushuru katika serikali ama kugharamia matibabu katika sekta ya afya hazitumwi katika National Hospital Insurance Fund (NHIF) . Hizi pesa zitakapofikia wafanyikazi, wapewe haki yao kwa kulipa ushuru, NHIF na NationalSocial Security Fund (NSSF), haya madeni yaondolewe."
}