GET /api/v0.1/hansard/entries/1213146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213146,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213146/?format=api",
    "text_counter": 498,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Kuna wanakandarasi ambao kwa muda mrefu pesa zao hazijalipwa. Haiwezekani tuwe tunawapa pesa kila uchao lakini hawalipi madeni ya wafanyikazi na wanakandarasi. Tuhakikishe wale wachapa kazi wa mashinani walipwe pesa zao, wale ambao wako katika ratiba ya mwaka 2023/2024 wapewe pesa zao, ili kwa pamoja tusonge mbele na tuimarishe nchi yetu ya Kenya."
}