GET /api/v0.1/hansard/entries/1213209/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213209,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213209/?format=api",
    "text_counter": 22,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Tabith Mutinda",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "I thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. Ningependa kuchukua fursa hii kuwakaribisha sana wanafunzi kutoka hii Kaunti yetu nzuri ya Nairobi. Mmefanya jambo la hekima sana kutembea katika Bunge letu la Seneti leo. Tunafurahia kuwa nanyi. Masomo ni kitu ambacho mzazi anaweza kukupa ambacho hakuna yeyote ambaye anaweza kuchukua kutoka kwako. Mafunzo mnayopewa myaweke kwa hali inayofaa. Mambo mengi yamekuwa sasa katika teknolojia tofauti. Ninazidi kuwaomba mfuate yale ambayo wazazi wanawaeleza, yale ambayo walimu wanawafunza ili muwe viongozi bora kama sisi. Pia, ninawasihi kuhakikisha kuwa hakuna jambo ambalo litawazuia kutimiza ndoto zenu. Tia. bidii katika masomo yenu na mtakuwa bora. Hata sisi tulio hapa tulianzia hapo mlipo na tukaweka ile bidii ambayo inafaa na pia Mungu tukamweka mbele na hapa ndipo tulipo leo. Mungu awabariki sana."
}