GET /api/v0.1/hansard/entries/1213304/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213304,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213304/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wakoli",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 208,
        "legal_name": "Sylvester Wakoli Bifwoli",
        "slug": "wakoli-bifwoli"
    },
    "content": "kwa mwezi. Ilhali, madaktari wenye tajriba kama hiyo, humu Kenya, hawana kazi, wanapiga miayo na hawaruhusiwi kutafuta kazi katika nchi za kigeni. Ninaomba hivi, itawezekana kwamba hawa wa madaktari kutoka Cuba warudishwe kwao na pesa wanazolipwa zitumike kuajiri madaktari hapa Kenya?"
}