GET /api/v0.1/hansard/entries/1213456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1213456,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213456/?format=api",
    "text_counter": 269,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, ningependa kumpongeza Sen. Cherarkey kwa taarifa aliyoleta katika Bunge. Wakati huu ambapo bado kuna janga la njaa, kuna ukame kila mahali ilhali Benki Kuu imesema ya kwamba watu wakituma pesa wakitumia simu zao za rununu, watarejesha yale malipo ambayo walikuwa wakilipa. Bw. Naibu Spika, ningependa kuuliza Kamati ambayo imepatiwa fursa hii iangalie mambo hayo kwa kindani wakiwa na Wizara ya Fedha ili waweze kusaidia Wakenya kwa sababu wakati huu bado wako na shida na wangependa kuwa waendelee---"
}