GET /api/v0.1/hansard/entries/1213462/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1213462,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1213462/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Sen. Oketch Gicheru kwa kusema niongezewe muda. Sikutaka kusema tayari alisema nikiwa hapa. Kama ningemwambia aniongezee muda ni kana kwamba ningekuwa nikimuonyesha kwa sababu nimekaa katika kiti kile na mimi naelewa majukumu aliyo nayo. Kwa hivyo, nashukuru Sen. Oketch Gicheru. Bw. Naibu wa Spika, ni vizuri Wizara ya Fedha iangalie hayo mambo kwa kindani na waweze kuambia Benki Kuu ni vizuri haya malipo yasiweze kurejeshwa. Hii ni kwa sababu, bado yale makali ya ugonjwa wa Covid-19 yanaendelea kuadhiri Wakenya kila mahali. Ni vizuri kwanza wangojee. Wapatie Wakenya muda hata kama ni miezi mingine sita ama mwaka mmoja waweze kurejelewa na hali yao ya kawaida."
}