GET /api/v0.1/hansard/entries/1214197/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1214197,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1214197/?format=api",
"text_counter": 35,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kathuri",
"speaker_title": "The Deputy Speaker",
"speaker": {
"id": 13590,
"legal_name": "Murungi Kathuri",
"slug": "murungi-kathuri"
},
"content": " Asante. Nikiendelea na Kiswahili na tukimalizia, Sen. Maanzo ni rafiki yangu ambaye tumejuana kutoka mwaka wa 2013 wakati tuliingia Bunge la Taifa. Ningependa kuwaambia hawa wanafunzi wa Makueni kwamba wakifuata maadili, heshima na utendakazi uadilifu wa Sen. Maanzo, wataenda mbali. Sen. Okenyuri, umewashauri wakina dada wale wako pale vile wataendelea vizuri. Pia ningependa kuwaambia wanaume kwamba mambo ni mangumu huku mbele. Wanawake wameanza kutupita na wajikakamue kabisa ili waweze kuendeleza mambo yao vilivyo. VISITING DELEGATION FROM WANJOHI MIXED SECONDARY SCHOOL, NYANDARUA COUNTY"
}