GET /api/v0.1/hansard/entries/1214320/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1214320,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1214320/?format=api",
"text_counter": 158,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Naibu Spika, naomba unisikize, usiniambie tunavyostahili kufanya. Kama ule mpaka tumeuvuka, basi samahani. Kadri tunavyoendelea, ni lazima nawe pia uwe na moyo mkunjufu na mkubwa wa kuweza kusamehe upande huu na ule vilevile ukifanya makosa, pia uweze kuwasamehe. Asante, Bw. Naibu Spika."
}