GET /api/v0.1/hansard/entries/1214389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1214389,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1214389/?format=api",
    "text_counter": 227,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Wakati ulipofika ukanipa nafasi ya kuzungumza, katika kile kizaazaa, nilikaribisha shule ya Kaunti ya Murang’a kama ya Kirinyaga. Kwa hivyo, hao wanafikiria hata sijui majina ya shule ambazo zimekuwa hapa leo."
}