GET /api/v0.1/hansard/entries/1214391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1214391,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1214391/?format=api",
"text_counter": 229,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kuna kitabu kinachoitwa Hekaya za Abunwasi. Kinasema eti mtego wa panya huingia waliyomo na wasiokuwemo. Pengine leo mtego haukuwa wangu lakini hata kama mimi ni ng’ombe, nimeshikwa katika huo mtego. Ninasema hivi kwa sababu aibu ni kubwa upande wangu kama Seneta wa Kaunti ya Kirinyaga."
}