GET /api/v0.1/hansard/entries/1214823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1214823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1214823/?format=api",
"text_counter": 242,
"type": "speech",
"speaker_name": "KisauniODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": null,
"content": " Asante sana Naibu Spika wa Muda. Nilikuwa nimeomba nafasi ya kuzungumzia yale marekebisho ya Katiba na Kanuni za Bunge lakini sikupata fursa. Niko na imani Mungu akinijalia, kesho nitapata nafasi. Kuna umuhimu haswa tukiona National Government Constituency Development Fund (NG-CDF) inaweza ikaingia kwenye shida. Ni vyema tuzungumzie ukweli."
}