GET /api/v0.1/hansard/entries/1214913/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1214913,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1214913/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "mwenzangu, Mhe. Nyikal, saa zingine utaona hapa hata hizi sheria zinawekwa hazifanyi kwingine. Hizo sheria ziliwekwa ni nyingi. Sheria ingine inasema eti ni lazima walimu wawe na gredi ya C+ ambayo ni masikitiko katika Eneo Bunge langu. Hata tunaweza kuisema kama ni janga la kitaifa, kwa sababu sisi tulipata alama ya B- moja katika Eneo Bunge nzima. Tuna alama za C plain mbili. Nilipata shule hazina mikakati ya watoto kusoma. Sasa sheria zikitungwa hivyo na CBC iwekwe na haijaangalia mtu wa Lamu Mashariki, atafanya vipi? Atapata walimu kutoka wapi? Huwa ni changamoto."
}