GET /api/v0.1/hansard/entries/1215015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1215015,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215015/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taita Taveta, UDA",
"speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
"speaker": null,
"content": " Asante Naibu Spika kwa kunipatia fursa hii kwa mara nyingine tena. Nimesimama kwa kauli ya mujibu wa Kanuni ya 44(2)(c) kuhusu wajibu wa viongozi kuvaa na kutangaza mavazi na sanaa ya Kiafrika. Kwa mujibu wa Kanuni ya 44(2)(c), ningependa kuto Kauli kuhusu wito kwa viongozi kuvalia na kutangaza mavazi na sanaa ya Kiafrika. Mhe. Naibu wa Spika, ona Wabunge wa kike wanavyong’aa kwa mavazi na nakshi hizi za Kiafrika!"
}