GET /api/v0.1/hansard/entries/1215017/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1215017,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215017/?format=api",
    "text_counter": 92,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taita Taveta, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Haika Mizighi",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, ndio hao mnaowaona. Kina mama hi ! Asante sana. Hili ni dhihirisho kuwa ipo haja Bunge la Kenya kutambua mavazi na mitindo yetu ya Kiafrika na Kikenya."
}