GET /api/v0.1/hansard/entries/1215033/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1215033,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215033/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Mhe. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": " Asante, Mhe. Naibu Spika. Kuna watoto wa shule ambao wanatusikiza tukizungumza kwa Kiswahili. Mhe. Babu Owino alisema kwamba kuna nguo ambayo imekaa kwekwe kwekwe . Hiyo si Kiswahili sanifu. Huenda Watoto wetu wakalichukulia kuwa litaingia katika kamusi kwa sababu ni Waheshimiwa wamelitaja. Ningeomba hilo neno litolewe na wanafunzi wajue kwamba hakuna neno kama hilo lililotumiwa na Mhe. Babu Owino. Asante."
}