GET /api/v0.1/hansard/entries/1215039/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1215039,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215039/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Deputy Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Timothy Wanyonyi, akina mama walisema kwamba, na kama ulivyosikia Mhe. Haika Mizighi akisema, tunavaa nguo za Kiafrika sio Kenya tu. La muhimu ni bora zimeshonwa na Wakenya. Ningependa kumpatia Mhe. Yusuf Hassan nafasi hii."
}