GET /api/v0.1/hansard/entries/1215041/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1215041,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215041/?format=api",
    "text_counter": 116,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kamukunji, JP",
    "speaker_title": "Hon. Yusuf Hassan",
    "speaker": {
        "id": 398,
        "legal_name": "Yusuf Hassan Abdi",
        "slug": "yusuf-hassan-abdi"
    },
    "content": "Hizi mipaka ziliwekwa na wakoloni miaka michache iliyopita. Kuna watu wanaishi hapa Kenya ambao walizaliwa kabla ukoloni hujafika katika sehemu nyingi za Kenya. Kwa hivyo, sisi ni Waafrika Mashariki na wenzetu wote wa eneo hili pia wanabadili. Ukienda Tanzania, utaona mavazi ya kupendeza ya akina mama na wanaume. Kwa hivyo, ninawatakia kila la heri. Muendelee vivyo hivyo. Mvae haya mavazi mazuri na mtandaze utamaduni na ustaarabu huo kote Kenya. Zaidi pia, tujikomboe kiakili na tuwe na nchi inayoheshimika. Asante sana, Mhe Naibu wa Spika."
}