GET /api/v0.1/hansard/entries/1215302/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1215302,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215302/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, nimemsikia Sen. Tabitha Mutinda akisema mheshimiwa tunayemjadili hapa kuwa komishna ya Tume ya Bunge ni Mkamba. Ningependa kumukumbusha kwamba mheshimiwa ni kiongozi katika nchi ya Kenya. Alikuwa mwenyekiti wa chama kinachoongoza cha UDA. Kwa hivyo, nilitaka tuondoe matamshi hayo katika kumbukumbu zetu ili isionekane kana kwamba yeye ni kiongozi wa Wakamba."
}