GET /api/v0.1/hansard/entries/1215924/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1215924,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1215924/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "itajenga vyumba mbalimbali kwa wananchi, ni haki kwao kuwafurusha watu haraka ili wanufaike na pesa za Serikali. Lazima utu uwepo, sheria ifuatwe, watu wahusishwe na kila mtu apate haki yake nchini. Ninaunga mkono yale ambayo watu hawa wameleta Seneti. Ninaomba Kamati ambayo inahusika na mambo haya iende ndani kwa kina ili kuhakikisha kwamba Mkenya halalamiki wala hahangaiki kujivunia kuwa Mkenya."
}