GET /api/v0.1/hansard/entries/1216024/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216024,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216024/?format=api",
"text_counter": 181,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Thank you, Mr. Speaker, Sir. Kuhusiana na mradi wa NAGRIP ambao Mhe. Osotsi ametaja, vile vile, katika kaunti ambayo nawakilisha hapa Bunge, kuna maswala tata ambayo Kamati ya Ukulima na Mifugo lazima iangazie. Hii ni kwa sababu tuko katika mfumo wa kupokezana awamu ya uongozi kutoka gavana waliokuwepo na wale ambao wameingia sasa. Hivi kwamba, katika bajeti kuna fedha ambazo zinaenda katika kaunti zetu. Itakuwa jambo la busara Kamati ya Ukulima na Mifugo iweze kuangazia maeneo haya kwa haraka ili iwapo kuna wale ambao wamekuwa wakijipa kandarasi, ama vile vikundi vya wakulima mashinani, iwapo kikundi kimoja kinaweza kuwa familia nzima wamejiweka pamoja ili wafanye biashara na pesa zetu, tuweze kuwamulika mapema, tukabiliane nao mapema, ili fedha ambazo"
}