GET /api/v0.1/hansard/entries/1216026/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216026,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216026/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "tunaidhisha zitumwe kwa kaunti, zipate mikono safi, watu wenye mioyo safi na wawajibikaji, ili wakulima pale mashinani waweze kupata haki yao. Naunga mkono Mhe. Osotsi na kusema kwamba tupanue mtazamo wetu kuhusiana na pesa hizi katika kaunti zote nchini Kenya ili katika mfumo wa Kenya Kwanza kuboresha ukulima, watu tuanze katika awamu safi ili kuwe na uhakikisho kwamba pesa za mtoza ushuru zinafanya kazi kwa mujibu wa katiba. Asante sana, Bw. Spika."
}