GET /api/v0.1/hansard/entries/1216160/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216160,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216160/?format=api",
"text_counter": 317,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Nikichangia kwenye hii taarifa ya usalama, nimekuwa nabukua mtandao wangu nikaona vikosi vyetu vya usalama vikifanya mazoezi na kuzuru maeneo mbalimbali kule Congo. Wakenya walikuwa wanafurahi sana wakijipigia upato kwamba Kenya ina kikosi cha uzoefu mkubwa wa kukomboa miji mbalimbali katika Bara la Afrika."
}