GET /api/v0.1/hansard/entries/1216326/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216326,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216326/?format=api",
    "text_counter": 83,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Kwa hoja la nidhamu, Bw. Spika. Nimesimama kulingana na kanuni zako hususan Kanuni Namba Tano kuhusu mavazi ambayo Maseneta wanastahili kuvaa wakiwa katika Bunge hili. Seneta mwanaume anafaa kuvaa koti, shati, tai, suruali ndefu, soksi na viatu, nguo za huduma ama nguo za kidini. Nimemuona ndugu yangu Sen. Chimera pale amevaa vazi ambalo sidhani lina ruhusiwa katika Bunge hili. Kwa hivyo, ningependa utoe mwongozo kuhusu vazi ambalo Sen. Chimera amevaa katika Bunge hili. Asante, Bw. Spika."
}