GET /api/v0.1/hansard/entries/1216328/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216328,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216328/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika nimemskia Sen. Faki akitaja mavazi ambayo yanafaa kuvaliwa lakini nikimuangalia Sen. Chimera amevaa mavazi ambayo yanakubalika katika Bunge hili. Amevaa “Kaunda suit” ambayo nimekuwa nikimuona Seneta kutoka Kaunti ya Kisii akivaa kila wakati. Tunaweza kumkubalia ndugu yangu Sen. Faki kwamba pengine haoni vizuri kwa vile amevaa miwani. Mimi niko karibu na Sen. Chimera na naona amevaa vilivyo. Ukimwona Sen. Faki, ako na miwani. Kwa hivyo, naweza nikamwia radhi. Sen. Chimera amevaa mavazi mazuri."
}