GET /api/v0.1/hansard/entries/1216335/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216335,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216335/?format=api",
"text_counter": 92,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Koti ni la mikono mirefu ambalo linatoka kutoka kwenye bega mpaka kwenye viganja. Hatuwezi kusema kwamba lile ni koti. Hata kama ingekuwa ni suti ya Kaunda, iwe ya mikono mirefu. Suti ya Kaunda ambayo Sen. Onyonka anavaa ni ya mikono mirefu na inaziba sehemu hizi mpaka kwenye vitanga."
}