GET /api/v0.1/hansard/entries/1216579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216579,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216579/?format=api",
"text_counter": 336,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bi. Spika wa muda, Sen. Munyi Mundigi wa Embu anatembea kutoka upande wa Walio Wengi hadi kwa Walio Wachache bila kuzingatia Kanuni za Kudumu za Seneti. Ni kama yuko katika soko la Runyenjes, ambapo anatoka katika duka la muhindi akielekea duka lingine. Mwambie afuate sheria, arejee kwenye kiti chake na kufuata kanuni vizuri ili iwe funzo na aweze kuzoea."
}