GET /api/v0.1/hansard/entries/1216603/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216603,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216603/?format=api",
    "text_counter": 360,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika Wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Siku ya leo ni siku ya hofu zaidi katika nchi yetu ya Kenya. Nina uchungu kutokana na uamuuzi ambao Mahakama yetu ya Upeo ilitoa kwa kukubali kwamba tunapaswa tuwe na miungano ya mashoga, wasagaji, watu walio na jinsia mbili na wale ambao walibadilisha jinsia."
}