GET /api/v0.1/hansard/entries/1216606/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216606,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216606/?format=api",
"text_counter": 363,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Mimi ninajua kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria sio kutunga sheria. Kazi ya kutunga sheria ni ya Bunge. Ninajua vizuri mamlaka ya mahakama inapatikana kutoka kwa wananchi wa Kenya. Ibara ya 159 ya Katiba yetu inasema mamlaka ya mahakama inatokana na wananchi wa Kenya."
}