GET /api/v0.1/hansard/entries/1216607/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216607,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216607/?format=api",
    "text_counter": 364,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nikikumbuka vizuri wakati Wananchi wa Kenya walipokuwa wanatengeneza katiba yao, walisema dhahiri shahiri kwamba mwanaume anapaswa kumuoa mwanamke. Kinachonisumbua zaidi ni kuwa Ibara ya 41 inasema kuwa mwanaume amuoe mwanamke ama mtu wa jinsia tofauti, lakini si watu wa jinsia moja."
}