GET /api/v0.1/hansard/entries/1216608/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216608,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216608/?format=api",
    "text_counter": 365,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Sen. Wambua, aliniambia akimaliza mambo haya ya siasa atakuwa muhubiri. Kinachonisumbua ni kwamba, wakati atakapokuwa akiandika ile hati ya ndoa, kulingana na Mahakama ya Upeo, itakuwa ndoa ni ya Mueni na Mwende. Itakuwa ni ya Wambua na King’ola ama Mutua."
}