GET /api/v0.1/hansard/entries/1216609/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216609,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216609/?format=api",
"text_counter": 366,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bi. Spika Wa Muda, itakuwa ni jambo la kuvunja moyo. Tutafanya huyu kiongozi ambaye atakuwa tayari amejitolea kuhubiri neno la Bwana kama alivyotangaza hapa aache kuhubiri kwa sababu hataweza kusimama wakati ule. Pengine atakufa tu kwa kupigwa na mshtuko wa roho."
}