GET /api/v0.1/hansard/entries/1216610/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216610,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216610/?format=api",
    "text_counter": 367,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nikifuatilia mambo yalivyoanza ni ya kwamba Mashirika yasiyo ya Kiserikali yalisimama kidete na kusema ya kwamba hayatasajili hii miungano. Lakini Mahakama yetu ya Upeo, sijui ni kwa kutojua ama kwa kujua zaidi wakaendelea mbele na kusema ya kwamba wanahalalisha miungano hii."
}