GET /api/v0.1/hansard/entries/1216613/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216613,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216613/?format=api",
"text_counter": 370,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Ningependa kuomba, na pengine mawakili kama Sen. Maanzo, watatuambia zaidi kwa sababu wamebobea katika kazi ili, Mwanasheria Mkuu wetu wa Kenya akate rufaa. Sababu ni kuwa majaji wale waliokuwa wamekaa pale ni watano. Ninadhani majaji saba ndio wanapaswa kuwa wamekaa pale waweze kutoa uamuzi wao."
}