GET /api/v0.1/hansard/entries/1216614/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1216614,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216614/?format=api",
"text_counter": 371,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Badala ya Mahakama yetu ya Upeo kutetea na kuilinda sheria yetu, wao wanasikiza mambo kutoka nchi za kigeni. Kazi yao ni kuharibu maadili yetu ambayo tumeyasimamia na tutakufa kwa maadili yetu."
}