GET /api/v0.1/hansard/entries/1216615/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216615,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216615/?format=api",
    "text_counter": 372,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Hata ikiwa watu wote katika hii Seneti watajiunga na hawa wasagaji na mashoga, mimi nitabaki pekee yangu kupambana na hizi sheria ambazo ni mbaya na zinagandamiza. Nitasimama kidete niweze kuhesabika. Hii ni kwa sababu Bibilia inasema hakuna goti halitapigwa mbele ya Mwenyezi Mungu."
}