GET /api/v0.1/hansard/entries/1216639/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1216639,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1216639/?format=api",
    "text_counter": 396,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hata Waislamu wanajua mambo ya Yesu. Wanajua kuomba. Siku hizi, Kanisa ni moja. Isipokuwa tu kuna wale wachache wa mambo ya giza ambao hawawezi kuunga mkono hayo maneno. Ikiwezekana, ninaomba tupewe siku nyingine kwa vile Maseneta ni wengi. Hiyo siku, tutazungumza na tupige kura, ndipo haya maneno yote yakemewe kabisa. Nchi ya Kenya inaogozwa na Yesu Kristo. Hata watu wengi ambao walichaguliwa ni watu ambao walikuwa wanaomba asubuhi na jioni. Mungu akaja na tukashinda."
}