GET /api/v0.1/hansard/entries/1217772/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1217772,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1217772/?format=api",
"text_counter": 312,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Nataka kuunga mkono Mheshimiwa mwenzangu kwa sababu ya kuleta Hoja hii. Naona imezua tumbo joto sana katika nchi yetu kwa sababu imegusa mambo ya maadili yetu sisi kama Waafrika, Wakenya, Wakristo, Waislamu na hata zile dini za kijamii. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}