GET /api/v0.1/hansard/entries/1217890/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1217890,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1217890/?format=api",
    "text_counter": 430,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": "Nikiangalia hili swala lote, ni jambo ambalo linabidi tufikirie kama Bunge kwa sababu tunaweza kuwa na Majaji wa Supreme Court ambao watatupa sheria ama kufanya uamuzi ambao kabisa kabisa, utaharibu uchumi wetu na nchi yetu ya Kenya."
}