GET /api/v0.1/hansard/entries/1218154/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1218154,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218154/?format=api",
"text_counter": 241,
"type": "speech",
"speaker_name": "Marsabit County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Naomi Waqo",
"speaker": null,
"content": "Tukiangalia vizuri tutokapo kule kwa kaunti, kwa mfano mimi ninatoka Kaunti ya Marsabit ambayo ina mahali mbali mbali, na zile constituencies ambazo watu wetu wako, kuna urefu wa kama kilomita zaidi ya mia tatu au mia nne. Kwa hivyo, ninaunga mkono hii Hoja kwa sababu tunajua kwamba wazee wetu huwa wanatembea ama wanabebwa na wanaumia. Wengine hata hawana hali ya afya nzuri na kwa hivyo wanaumia kwa njia mbalimbali. Wanafaa wapelekewe huduma karibu ili waweze kuhudumiwa kwa njia njema."
}