GET /api/v0.1/hansard/entries/1218157/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1218157,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218157/?format=api",
    "text_counter": 244,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Marsabit County, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Naomi Waqo",
    "speaker": null,
    "content": "ya tano inatuambia kwamba tunafaa kuangalia wazazi wetu kwa njia nzuri ili tuweze kupata baraka. Kwa hivyo, watu waangalie wazazi wao na wawachunge. Sisi pia kama Serikali ya Kenya Kwanza tumehakikishia watu kwamba tutakua tukishughulikia watu ambao wako katika vitengo mbali mbali katika nchi hii yetu ya Kenya, na haswa wazee ambao wamepitisha miaka sitini na tano na wanahitaji hiyo huduma kutoka kwetu ili waishi maisha inayofaa."
}