GET /api/v0.1/hansard/entries/1218163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1218163,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218163/?format=api",
"text_counter": 250,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kinango, PAA",
"speaker_title": "Hon. Gonzi Rai",
"speaker": null,
"content": "Tulipofika kwa benki, tukapata kwamba mzee alikuwa ametoa pesa zaidi ya karibu ishirini na tano, lakini hakumbuki hata siku moja kupewa shilingi. Pesa zote zilikuwa zimetoka. Kwa hivyo, watu hawa wanastahili kuwa na uangalifu mzuri sana, kwa sababu hata kile kipengee cha kuwasajili, wakati mwingine kinakumbwa na utata. Unamkuta mama ni mjane na anakuja kwako anakuambia amefikisha umri na wenzake wameandikishwa lakini yeye hajaandikishwa. Ukijaribu kutafuta suluhisho ama sababu, zinakosekana. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}