GET /api/v0.1/hansard/entries/1218365/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1218365,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218365/?format=api",
    "text_counter": 173,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, zile Kamati ambazo zitashughulikiwa Taarifa hizi zinapaswa kuangalia haya mambo kwa undani ili tupate suluhu ya kudumu. Tusiwe watu wa kuja Bunge hili kuongea na hakuna chochote tunafanya. Tuwekee mkazo ukulima wote ili tusaidie kizazi tulicho nacho na vizazi vijaavyo. Isiwe tutaongea hili jambo mwaka baada mwaka."
}