GET /api/v0.1/hansard/entries/1218375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1218375,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1218375/?format=api",
    "text_counter": 183,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "ya Kenya Kwanza inasema itasaidia ukulima. Saa hizi, kuna shida Kenya. Nimetoka Kaunti iliyo kwa mpaka wa Ethiopia. Ukulima Kenya ulikwisha, ukafa na ukazikwa. Saa hizi wakaazi wa Marsabit na Moyale wanatoa chakula kutoka Ethiopia. Mpaka unaoitwa Moyale... Bw. Spika, bei ya unga wa ngano na mahidi nchini Ethiopia ni nusu ya bei ya unga huku Kenya. Bei ya maharagwe pia ni hivyo. Vitunguu na viazi hutoka Tanzania. Vyakula vingi vinatoka Tanzania na Uganda."
}